TACAIDS YAJIPANGA KUHAKIKISHA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI KUBAKI HISTORIA IFIKAPO 2030

 Mkurugenzi wa Uraghabishi na Habari – TACAIDS Jumanne Issango akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya ukimwi kwa vijana leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mratibu wa Shughuli za Vijana TACAIDS Bibi. Grace Kessy, Mratibu Mwandamizi wa Shirika la Restless Development Bw. Oscar Kimaro na Mratibu wa Shughuli za Rufaa kwa Watoto na Walezi waishio katika mazingira magumu Dar es Salaam, Dkt. Fredy Frank.
 Mratibu Mwandamizi wa Shirika la Restless Development Bw. Oscar Kimaro akifafanua jambo wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari kuhusu masuala ya ukimwi kwa vijana leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Uraghabishi na Habari – TACAIDS Jumanne Issango na Mratibu wa Shughuli za Rufaa kwa Watoto na Walezi waishio katika mazingira magumu Dar es Salaam kutoka Shirika la PACT, Dkt. Fredy Frank (katikatika).
 Mratibu wa Shughuli za Rufaa kwa Watoto na Walezi waishio katika mazingira magumu Dar es Salaam, Dkt. Fredy Frank akifafanua jambo wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari kuhusu masuala ya ukimwi kwa vijana leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano baina yao na wawakirishi kutoka Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Restless Development na Shirika la PACT uliofanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO).

Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.

No comments:

Post a Comment