Random Posts

CLOUDS MEDIA YAANZISHA KAMPENI YA “TWENDE ZETU” KWA SEMINA NZITO NA WASANII MJINI DODOMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini CHADEMA Ndugu Zitto Kabwe akizungumza na wasanii mabalimbali wakati akitoa mada katika semina ya kampeni maalum ya “Twede Zetu” iliyofanyika kwenye  ukumbi wa African Dream mjini Dodoma leo , Kampeni hiyo inazungumzia na kuhamasisha vijana kuwa wabunifu na kutumia fursa zilizopo ili kujikwamua kimaisha lakini pia kuleta maendeleo kwa wasanii wenyewe na taifa kwa ujumla Watu mbalimbali wametoa mada katika semina hiyo ambao ni Patrick Ngowi, Zeno Ngowi Msanii Mrisho Mpoto na Ndugu Zitto Kabwe mwenyewe. 2 
Watoa Mada katika semina hiyo Patrick Ngowi kushoto na Zeno Ngowi wakiteta jambo wakati wa semina hiyo. 3 
Mtoa mada Patrick Ngowi akizungumza na wasanii katika semina hiyo 4 
Msanii Mrisho Mpoto ambaye pia ametoa mada katika semina hiyo
Mtoa mada Zeno Ngowi akizungumza na wasanii katika semina hiyo. 6 
Ndugu Zitto Kabwe akiingia katika ukumbi wa mikutano wa African Dream mjini Dodoma. 7 
Mkubwa Fella kutoka TMK akizungumza katika semina hiyo 10 
DJ Elly katikati Godzilla kushoto na Izo Busness wakiwa katika semina hiyo. 11 
Benny Kinyaiya akizungumza katika semina hiyo kulia ni Babu Tale na kushoto ni Said Bonge. 12 
Millad Ayo akizungumza na kutoa mchango wake wa mawazo katika semina hiyo. 13 
Anold Kayanda akitoa mawazo yake. 14 
Ibrahim Masoud na washiriki wengine wakiwa katika semina hiyo 15 
Wasiwasi Mwabulamboakitoa mada katika semina hiyo. 16 
Dj Fetty akitoa mchango wake 17 
Afande Selle akiwa na wasanii wenzake katika semina hiyo. 18 
Khamis Mandi B. 12 akitoa mchango wake katika semina hiyo. 19Moungozaji wa semina hiyo Gerald Hando akizungumza na wasanii mbalimbali katika semina hiyo. 20 
Shafii Dauda na Diva wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo

Post a Comment

0 Comments