Ofisa
mtendaji mkuu wa benki ya NMB Mark Wiessing akimshukuru mheshimiwa
waziri wa fedha Dk William Mgimwa mara baada ya kuzindua akaunti ya NMB
Chap chap .
…………………………………………………………………..
Benki
ya NMB imeendelea kuwa kinara katika kubuni na kuboresha huduma mbali
mbali za kibenki, ili kuwawezesha wateja wake kupata unafuu na urahisi
wa upatikanaji wa huduma za kibenki nchini Tanzania. Katika kulizingatia
hili mwishoni mwa wiki Benki ya NMB ilizindua akaunti ya Chap Chap
ambayo kusudi kubwa ni kuwafikia wananchi wote kule waliko na
kuwafungulia akaunti zao.Kikubwa zaidi ni kwamba mteja ataweza kufungua
akaunti papo hapo na kupata kadi yake ya kutolea fedha ndani ya dakika
kumi
- Mambo muhimuzaidiambayomtejawa Chap Chapanawezakufaidikanayonipamojana:
- Kuonasalio la akauntiyakopopoteulipo
- Kuwekafedhanakutoafedhakwamawakalawa M- pesa
- KutumafedhakwawasionaakauntimahalipopotenchinikwakutumiahudumayaPesaFasta
- Kununuavochazamudawamaongezikutokakwenyemtandaowowotewasimu
- Kuchukuafedhahadishillingi 1.000,000/= kutoka kwenye ATM
Sehemu ya maofisa na wageni waalikwa kwenye uzinduzi huo
0 Comments