Random Posts

Home Shoping Center YAJIPANGA KUTOA HUDUMA NZURI KATIKA MAONESHO YA SABASABA MWAKA HUU



Mkurugezi wa masoko wa kamupuni ya Home Shoping Center Fatuma Washoto akiongea na waandishi wa Habari katika banda lao alisema mwaka huu wamejiandaa vizuri kwa kuingiza bidhaa zinazo endana na mahitaji ya wananchi wa nyanja zote.PICHA NA BERNARD JAMESI

 Baadhi ya bidhaa mbali mbali zikiwa katika banda hilo




Post a Comment

0 Comments