Random Posts

LANGA AAGWA TAYARI KWA SAFARI YAKE YA MWISHO MAKAZI YA MILELE


 
Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini  Dar
Langa enzi za uhai wake.…
 
Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini  Dar.
Ndugu wa marehemu wakiaga.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Langa.
Ridhiwan Kikwete (kushoto) akiwa msibani.
Taratibu za mazishi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Langa Kileo zimeanza rasmi ambapo leo asubuhi ameagwa na familia yake nyumbani kwao Mikocheni Jijini  Dar. Waombolezaji wengine watapata muda wa kumuaga mwanamuziki huyo saa 7 mchana na mazishi yanatarajiwa kufanyika Makaburi ya Kinondoni jijini saa 9 alasiri.

Post a Comment

0 Comments