Mshindi
wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na
mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013,
Bright Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo kwa kuweza
kuwagalagaza wenzake wapatao 12 katika kinyang’anyiro hicho kilifanyika
jana ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip jijini Dar.
Akivalishwa utambulisho wake.
Showlove...
Warembo
waliofanikiwa kuingia katika tano bora wakifurahia kwa pamoja, katikati
ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca
Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. Wengone ni Sarah Paul (kwanza
kulia) na Linda Joseph (kwanza kushoto).
Tatu bora ni katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto
kwake) ni Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi.
Katika picha Mkutano wa muungano mawaziri mjini Dodoma
Kutoka
kushoto, katibu mkuu ofisi ya makamu wa rais bwana Sazi Salula, waziri
wa nchi ofisi ya makamu wa rais Muungano mh. Samia Suluhu Hassan,
mwenyekiti wa mkutano, Mh Ali Juma shamhuna waziri wa Elimu Zanziabr,
akimuwakilisha Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa pili wa Rais zanzibar
kama mwenyekiti mwenza katika kikao cha kamati ya pamoja cha Serikali ya
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na serikali ya mapinduzi zanzibar cha
kujadili changamoto za Muungano.
Baadhi
ya mawaziri wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar katika kikao cha pamoja
cha kujadili changamoto za muungano mjini Dodoma Leo
Pichani
kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi yamakamu wa Rais Muungano mh Samia
Suluhu Hasan akiongoza kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za
muungano..mjini Dodomaleo
Baadhi
ya wakurugenzi kutoka Ofisi ya makamu wa rais wakifuatilia mazungumzo
katika kikao cha pamoja cha kujadili changamoto za muungano
kinachoendelea mjini Dodoma
Picha zote na Evelyn Mkoko
0 Comments