Random Posts

MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge waBunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utatibu, Mhe. Stephen Wasira. Bngeni Mjini Dodoma Juni 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, Bungeni mjini Dodoma Juni 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na bunge wa Viti Maalum na Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stella Manyanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Southern Highlands yaMafinga Iringa waliotembelea Bunge Juni 12,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0577 IMG_0582 
Wanachuo wa Chuo kikuu Cha Mtakatifu John cha Dodoma wakifurahi kusalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2013.(Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

Post a Comment

0 Comments