Mfalume
Mswati III wa Swaziland akitoa hotuba yake wakati wa Uzinduzi Rasmi wa
Maonesho ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba, Jijini
Dares Salaam(Kushoto kwa King Mswati III) ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda
Mfalume
Mswati III wa Swaziland(katikati) akiwa amesimama na Meza Kuu wakiimba
Wimbo wa Taifa la Swaziland leo katika Uzinduzi wa Maonesho ya Biashara
ya Kimataifa, Jijini Dar es Salaam(wa pili kulia)ni Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda(PICHA NA BERNARD JAMES WA MTAZAMO MEDIA)
Mfalume
Mswati III wa Swaziland akiingia katika Viwanja vya Maonesho ya
Biashara ya Kimayaifa tayari kwa Uzinduzi Rasmi akiwa ameongozana na
Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda
0 Comments