| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabibidhi kombe,Meneja Mkuu wa kampuni ya NIDA TEXTILE MILLS TANZANIA LTD.Bw Elihuruma Mabelya baada ya kuibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam |
Mkurugezi wa NIDA
TEXTILE MILLS LTD Bw.Hasnain Pardesi(kushoto)Muhamad hamza wa kampuni hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa kombe hilo
Meneja mkuu wa kiwanda cha NIDA
TEXTILE MILLS LTD Bw.Imran Lohya akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu bidhaa wanazo zalisha na ubora wake(kulia kwake)Mkurugezi wa kampuni hiyo Bw.Hasnain Pardesi.
Warembo wakipita jukwaani wakionyesha mavazi ya vitenge na kanga zinazo zalishwa na kiwanda cha NIDA
TEXTILE MILLS LTD kwenye banda la kampuni hiyo lilioko katika maonyesho ya sabasaba jijini Dar es salaam jana
Mrembo Bula Mkiya akipita jukwaani na vazi la kanga
Baadhi ya wakazi wa jiji wakiwa kwenye banda la NIDA
TEXTILE MILLS LTD wakifuatilia kwa umakini warembo waliokuwa wakipita jukwaani na mavazi ya kampuni hiyo
0 Comments