Muonekano
wa banda la Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirit Ltd,lilioko katika maonesho
ya sabasaba jijini Dar es salaam.
Kikundi cha ngoma Mabibo Mchakamchaka kilikuwa kikitoa
burudani kwenye banda la Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirit Ltd,lilioko
katika maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam.
Ambo Side akionyesha mambo yake.


0 Comments