Wajumbe wa kamti Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Dr. Asha
Rose Migiro (kushoto) wakisalimiana kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa
Kamati kuu ya CCM mjini Doma Agosti 23, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Viongozi na
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliofika uwanjani kumlaki.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana .
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Adam
Kimbisa
Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Khamis Sadifa Juma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Octavian Kimario .
Watumishi
na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia kwa furaha ujio wa
Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete mara tu alipowasili
Dodoma tayari kwa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Taifa ya
Chama.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishina mawazo na Mjumbe wa
Kamati Kuu Ndugu Stephen Wassira kabla ya Kikao cha Kamati kuanza leo
Dodoma kwenye Ukumbi wa NEC.
Wajumbe wa Kamati Kuu wakijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa NEC kabla
ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu,Dodoma 23 Agosti 2013.
Mjumbe wa NEC, Prof. Anna Tibaijuka akipitia Katiba ya Chama kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ndani ya ukumbi wa NEC.











0 Comments