Random Posts

RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BIN CLINTON.NA RAIS DK.SHEIN

IMG_2546 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.[Pichana Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2575 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,(katikati) aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake,(kushoto) Chalsea Clinton,ni Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2611 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2680  
Mtoto wa  Rais Mstaafu wa Marekani Chalsea Clinton,akipiga mpira kama ishara ya kufungua mpambano wa Timu za wachezaji wa zamani katika sherehe za Ziara ya Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,kukagua miradi mbli mbali katika nchi za Afrika iliyo chini ya ufadhili wa Taasisi yake,(CLINTON FOUNDATION) katika uwanja wa Amaan leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2684 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mtoto wa Rais Mstaafu wa Marekani  Chalsea Clinton,baada ya kufungua mpambano wa Mpira wa Miguu kwa timu za Wachezaji wa Zamani uliofanyika leo katika Uwanja wa Amaan ,(katikati) Rais wa Mstaafu wa Marekani Bill Clinton,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Wasiosikia wafarijika kwa kuhudumiwa na watu Mashuhuri

PIX1  
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akifurahia jambo alipokuwa akimskiliza kutoka kwa Mkurugenzi wa Montage Bi Teddy Mapunda mara baada ya kuwasili katika eneo  ambapo kulikuwa kunatolewa huduma ya vifaa vya kusaidia usikivu jana jijini Dar es Salaam. Huduma hii ya kijamii ya kusaidia watu wenye matatizo ya kusikia imekuwa ukitolewa kwa ushirikiano wa taasisi za Starkey ya Marekani, Montage ya Tanzania na Serena Hotel ambapo hii ni mara ya tatu tokea wameanza kutoa huduma hiyo.
PIX2  
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akimuwekea kifaa cha kusaidia usikivu mwanafunzi aliyetambulika kwa jina moja la Adrian ambaye jana jijini Dar es Salaam.Huduma hii ya kijamii ya kusiadia watu wenye matatizo ya kusikia imekuwa ukitolewa kwa ushirikiano wa taasisi za Starkey ya Marekani, Montage ya Tanzania na Serena Hotel ambapo hii ni mara ya tatu tokea wameanza kutoa huduma hiyo.
PIX3 
Mchezaji wa Kimataifa wa Mpira wa Kikapu anayecheza ligi ya NBA nchini Marekani Hasheem Thabeet akiwa na mwanzilishi ambaye pia ni Daktari bingwa wa magonjwa ya usikivu William Austin alipotenmbelea kliniki ya kuhudumia wagonjwa wenye matatizo ya usikivu hapa nchini iliyoratibiwa na Taasisi ya kusaidia usikivu (Starkey) kwa kushirikiana na kampuni ya Montage ya Tanzania na Serena Hotel jana jijini Dar es Salaam.
PIX5  
Mchezaji wa Kimataifa wa Mpira wa Kikapu anayecheza ligi ya NBA nchini Marekani Hasheem Thabeet akimpa mazoezi ya kusikia mmoja wa wagonjwa  alipotenmbele eneo ilipokuwa inatumika kwa ajili ya kliniki ya kuhudumia wagonjwa wenye matatizo ya uskivu hapa nchini iliyoratibiwa na Taasisi ya kusaidia usikivu (Starkey) kwa kushirikiana na kampuni ya Montage ya Tanzania na Serena Hotel jana jijini Dar es salaam
PIX7 Mwanzilishi wa StarKey taasisi ya kusaidia usikivu ambaye pia ni Daktari bingwa wa magonjwa ya usikivu William Austin mwenye fulana ya bluu akifuatilia maendeleo ya mgonjwa wa usikivu wakati akipewa mazoezi nkufuatia kupatiwa kifaa cha kumsaidia kusikia jana jijini Dar es Salaam..
PIX8 
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wa pili kushoto katika picha ya pamoja na waratibu wa kliniki ya kuhudumia watu wenye matatizo ya kutosikia alipotembelea kliniki hiyo jana jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Starkey Judith Robert, Mkurugenzi wa Montage Teddy Mapunda na Mkurugenzi wa Masoko wa Serena Hotel Serafin Lusala.
Picha zote na Frank Shija – MAELEZO

Post a Comment

0 Comments