Meneja
Mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka wa Kampuni ya STRABAG,Bw
FRANK ROHDE kuhusu malalamiko juu ya wafanyakazi kuhusiana na mishaara yao
Mkuu
wa mkoa wa Dar Es Salaam akipokelewa na baadhi ya wafanyakazi baada ya kuwasiri
ktk ofisi za STRABAG maeneo ya ubungo
Wafanyakazi
wakiwa wamebeba mabango yaliyo andikwa ujumbe wa aina mbalimbali.
Mhe
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam
Said Meck Sadiki akiongea na wafanyakazi mara baada ya kuwasili hapo
Bwana
fedha wa kampuni hiyo,Ahmed Nasimu ambaye miongoni wa vyiongozi wanaolalamikiwa
Mhe
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam
Said Meck Sadiki akiongea na baadhi ya viongozi wa kamati ya usala ya ubungo
Mwasibu
,Bw Snton Nghumbi akiwa chini ya ulinzi akipelekwa kituoni kwaajili mahojiano.
Wafanyakazi
wa Kampuni hiyo wakimsiliza Katibu wa TAMICO Kanda ya Dar se salaa na Pwani,Bw
Chales Mgashi,
Daraja
likiwa maeneo ya Ubungo likiwa limesimama kwa ujenzi
Mhe
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam
Said Meck Sadiki akiongea
na vyombo habari mbalimbali mara baada
yakumaliza kikao cha dharula.kati ya uongozi na chama cha wafanyakazi (TAMICO)
(PICHA ZOTE NA BERNARD JAMES WA MTAZAMO MEDIA DAR ES SALAAM)
...............................................................................
Na Bernared James Mtazamo Media Dar es salaam
Wafanyakazi
wa kampuni ya kimataifa ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka,jijini
Dar es salaam wameugomea uongozi wao wakishinikiza kulipwa mishahara na marupurupu yao yote wanayo stahihi kulipwa,pia
wameulalamikia uongozi wao kwa kutowajali na kuwabagua wazawa .huku
ukiwapendelea wageni ambao ni wa Kenya na Wahindi.ambao wanalipwa pesa nyingi
sana tofauti na wazawa wakati wanafanya kazi zinazo fanana,pia wamelaani kitendo
chakuwalipa sh,mia saba 7 ya chakula kwa siku hii nidhihaka kwa wafanyakazi,pia
wameiomba serikali kupitia Wizara ya mambo ya
Ndani kuchunguza kwa kina maana kuna wageni wengi wanafanya kazi bila
vibli,na hata wenye vibali wanafanyakazi ambazo watanzania wapo wanaoweza
kuzifanya huu ni unyang’anyi wa wageni
kuchukua kazi zetu,Tanzania inazalisha
wanachuo wengi wanaomaliza vyuo vikuu ambao wanakosa kazi nakupewa
wageni alisikika mfanyakazi mmoja akilalamika.kabla ya hapo meneja wa
mradi(project manager)FRANK ROHDE alijaribu kuzuia wawndishi wa habari kuingia
ndani akisisitiza kwamba hakuna tatizo
lolote lile kitu kilichofanya wafanyakazi kumjia juu ukuwakitishia kumpiga
hivyo kunywea nakuachia waandishi waingie,Baada ya wafanyakazi kutoa malalamiko
yao ambayo ni mshahara.na marupurupu,vitendea kazi,manyanyaso,baada
yakusikiliza malalamiko yao waandishi waliamua kusikiliza upande wapili2,yaani
uongozi’baada ya kumfata meneja mradi MR F RANK aligoma kuongea chochote huku
akisema kumetokea wizi asuhi ile nakwamba wamevamiwa na majambazi ambayo
yamevunja sefe ya pesa nakutokomea nazo,baada yakumteka mhasibu anayejulikana
kwa jina la SANTON JOSHUA NG’HUMBI kasha
kumnyang’anya funnguo ambazo walizitumia kuingia nazo ndani ya chumba
wanamohifadhia fedha ,kitu ambacho kilipingwa vikali na walinzi walio kuwa
zamu,nakusema hakuna kitu kama hicho kilicho tokea hizo ni mbinu za kitoto
zinazofanywa na uongozi/FRANK alipobanwa zaidi na waandishi.aliwaomba wasimpige
picha na anaomba wakutane faragha ili awape kahawa.










0 Comments