Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi (kulia) akizindua
kitabu cha Orodha ya Dawa muhimu na matibabu katika hafla iliyofanyika
jana jioni kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dares Salaam. Kushoto ni Mfamasia Mkuu kutoka wizara
hiyo, Henry Ilunde.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk, Hussein Mwinyi (kulia) akimkabidhi
Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo ,ambaye pia ni Kamshina wa Ustawi wa
Jamii, Danford Makala (kushoto) kitabu cha Orodha ya Dawa muhimu na
matibabu katika hafla iliyofanyika jana jioni kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dares Salaam.
Picha na Magreth Kinabo –Maelezo
0 Comments