Random Posts

BONANZA LA VIONGOZI WA MICHEZO WANAWAKE AFRIKA LAFANA!!

IMG_8829Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na Wanahabari katika Bonanza la Viongozi Wanawake wa Afrika lililofanyika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam leo(Jana)
IMG_8883 IMG_8845 
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Viongozi Wanawake wa Michezo wa Afrika wakiangalia Michezo katika Bonanza lililofanyika Uwanja wa Taifajijini Dar es Salaam leo (jana)

Post a Comment

0 Comments