Random Posts

HONGERA JD PHARMACY KWA KUWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 100 YALIYO FANYA VIZURI 2013

Baadhi ya Washindi wa Makampuni 100 ya kati yaliyo tunukiwa Nishani Bora kwa kufanya vizuli Kibiashara na kutoa Huduma bora.JD PHARMACY LTD ni miongoni mwa walio pewa tuzo hivi karibuni katika ukumbi wa Mlimani city,katika picha ni baadhi ya wafanya kazi wa kiwa katika picha ya pamoja mala baada ya kukabidhiwa N GAO na CHETI cha U shindi na waziri wa viwanda na Biashara Dr Kigoda

Post a Comment

0 Comments