Mratibu wa matembezi ya hiyari
kwamiguu yajulikanayo kwa jina la , Matembezi ya Nchi Yangu Wajibu
Wangu Utaifa Kwnza”Bw, Matukio Chuma (katikati), akiwa
kwenye picha ya pamoja na washiriki wa matembezi hayo kabla yakuanza matembezi
kueleke Mkoa wa Morogoro yalionzia Mbezi jijini Dar es Salaam leo Januariy 11-
2014 ya kilometa 200 yatakayochua
siku kumi (kushoto), Mwanakikundi kutoka Umoja wa vijana,Bw
Athumani Ali ambae anawakilisha wanachama wenzie wapatao 80 (kulia), Mwanafunzi
kutoka Shule ya St Joseph Univerty Bw Joseph Serengeta akiwakilisha wanafunzi
wa shule hiyo. Kwa mujibu wa muandaaji
Bw, Matukio Chuma lengo la matembezi hayo yamelenga kuenzi mchango mkubwa na
kuthamini kujitoa mhanga kwa waanzilishi wa utaifa wetu, (Hayati) Mwl Julius
Kambarage Nyerere, Abeid Amani Karume, Edward Moringe Sokoine na wengineo ambao
walisimama kidete na leo tukawa na taifa likaitwa Tanzania.
Hapa safari imepambamba moto Dar mpaka Moro
eneo la Kibaha.
Hapa safari imepambamba moto Dar mpaka Moro
eneo la Kibaha.
Mratibu wa matembezi ya hiyari Matukio Chuma.
Joseph Serengeta mshiriki.
Athumani Ali mshiriki.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
0 Comments