Home
Contact
Random Posts
Home
HABARI
SIASA
BIASHARA
MICHEZO
BURUDANI
AFYA
ELIMU
UREMBO
Home
RAIS JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
RAIS JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Anonymous
January 12, 2014
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014
Vijana wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein wakimpongeza Rais Yoweri Kaguta Museveni aliyeongea machache wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein kwa hotuba nzuri aliyotoa wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiongea wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014
PICHA NA IKULU
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
Featured Post
Siasa
PROF. SHEMDOE AWATAKA MADIWANI KUWA WANYENYEKEVU KWA WANANCHI
Mtazamomedia blog
February 07, 2026
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Ser…
Popular Posts
MASOKO YARATIBU KILO 50 HADI 60 KWA WACHIMBAJI WADOGO SINGIDA
February 03, 2026
RAIS . DKT. SAMIA AWASILI DUBAI KUSHIRIKI MKUTANO WA (WORLD GOVERNMENTS SUMMIT – WGS)
February 03, 2026
WIZARA TATU KUIMARISHA KILIMO MAGEREZA
February 03, 2026
0 Comments