Home
Contact
Random Posts
Home
HABARI
SIASA
BIASHARA
MICHEZO
BURUDANI
AFYA
ELIMU
UREMBO
Home
RAIS KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA IKULU LEO
RAIS KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA IKULU LEO
Anonymous
January 11, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya
(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akisikiliza hotuba toka kwa Balozi wa DRC nchini Mhe Asumani Mpango ambaye pia ndiye Kiongozi wa Mabalozi nchini akihutubia wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wanawake wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya
(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014
Post a Comment
0 Comments
Social Plugin
Featured Post
Siasa
PROF. SHEMDOE AWATAKA MADIWANI KUWA WANYENYEKEVU KWA WANANCHI
Mtazamomedia blog
February 07, 2026
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Ser…
Popular Posts
MASOKO YARATIBU KILO 50 HADI 60 KWA WACHIMBAJI WADOGO SINGIDA
February 03, 2026
RAIS . DKT. SAMIA AWASILI DUBAI KUSHIRIKI MKUTANO WA (WORLD GOVERNMENTS SUMMIT – WGS)
February 03, 2026
WIZARA TATU KUIMARISHA KILIMO MAGEREZA
February 03, 2026
0 Comments