Random Posts

MAJADILIANO YA AFYA YA MAMA NA MTOTO YAFANYIKA JIJI DAR ES SALAAM

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid akisoma hotuba yake jijini Dar es Salaam wakati majadiliano kuhusu  afya ya mama na mtoto, lengo la majadiliano hayo ni kupunguza vifo kwa wakinamama wajawazito na watoto chini ya miaka 5, iliwakutanisha wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada, Christian Paradis, Alexandre Leveque, Mwakilishi kutoka Agha Khani, Amir Kurji. 

  002 
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada, Christian Paradis akisitiza jambo wakati wa majadiliano majadiliano kuhusu  afya ya mama na motto. 003 
Mwakilishi kutoka Agha Khani, Amir Kurji.akisoma hotuba yake. 004 
Wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi wakisi wakifuatilia kwa umakini majadiliano hao 005 
Wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi wakisi wakifuatilia kwa umakini majadiliano hao 006 
Wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi wakisi wakifuatilia kwa umakini majadiliano hao

Post a Comment

0 Comments