Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto), akikata utepe kufungua matembezi
kwa ajili ya maji, yaliolenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu
ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014 (katikati), ni Mkuu wa Wilaya
ya Bahi, Betty Mkwasa, na kulia Mwenyekiti wa Kijiji cha Chibelela, Dorice
Mkwawa.
PICHA KWA HISANI YA PHILEMON
SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA
Kikundi cha ngoma ya asili ya Kigogo kikitoa
burudani kabla yakuanza matembezi kwaajili ya kuihamasisha jamii kuhusu
utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya CHIBELELA
wilayani BAHI Machi 15, 2014
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa tayari kuongoza maandamano.
Watatu kulia, ni Katibu wa CCM Tawi la Chibelela
Bahi, Tito Lusinde akiwa pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejipanga kumpokea
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
Wakazi wa kata ya Chibelela wilayani Bahi nao
wakiwa tayari kumpokea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa akipanda Mti wakati wa matembezi hao.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.akipanda Mti wakati wa matembezi kwa ajili ya maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.matembezi hao yalifanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014.
Wanafuzi wa Shule ya Msingi Chibelela wakiwa
wamesimama na mabango yenye ujumbe mbalimbali.
Kushoto. Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema
Madenge Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Wilaya ya Bahi,
Betty Mkwasa, pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye matembezi kwa ajili ya
maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji
nchini. yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014
Mwakilishi kutoka Water Aid, Herbat Kashililah
akisisitiza jambo.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi
akihutubia wakati wa matembezi kwa ajili ya maji, yaliolenga kuihamasisha jamii
kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini. yaliofanyika katika kata ya
Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela
wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi wakati akitoa hotuba
yake.
0 Comments