Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi VIP Engeneering Marketing Ltd, James Rugemalira (katika), akiongea na waandshi wa habari Marchi 5, 2014 jijini Dar es Salaam kuhusina na mgogoro uliopo kati ya Tanesco na IPTL unahusu kiwango cha malipo ya uwekezaji yaani capacity charges ambacho IPTL walikuwa wanalipwa na Tanesco kwa mujibu wa James amesema hakuna mgogoro wowote baina ya Tanesco na IPTL (kushoto), Mkurungenzi Bodi ya Wakurugenzi VIP Engeneering Marketing Ltd Joe Mgaya,na kulia Mkurungenzi Bodi ya Wakurugenzi VIP Engeneering Marketing Ltd, Benedicta Rugemalira.
PICHA KWA HISANI YA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWEBLOG
Baadhi ys waandishi wa habari wakimsikiliza kwa umakini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi VIP , James Rugemalira wakati akitoa ufafanuzi kuhusiana na mgogoro uliopo kati ya Tanesco na IPTL.
Mwandishi wa habari Mkinga Mkinga akiuliza swali.




0 Comments