Random Posts

WIKI YA MAJI KITAIFA KUFANYIKA MKOANI DODOMA MACHI 16-22,2014

Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari katika Ofisi za Wizara ya Maji Mkoani Dodoma Machi 14, 2014 kuhusiana na utekelezaji wa maendeleo ya miundo mbinu ya maji nchini katika kuelekea maadhimisho ya wiki ya maji  yanayotarajiwa kufanyika kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri Manispaa ya Dodoma kuanzia Macha 16-22, 2014 kauli mbio ya maazimisho hayo “uhakika wa maji na nishati” katikati) Mwenyekiti Kamati ya Maadhimisho ya Wiki ya Maji Amani Mafuru, na kulia Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Maji, Nurdini Ndimbe.


Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalmbali wakimsikiliza Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, wakati akitoa kuhusiana na maadhimisho ya wiki ya maji  yanayotarajiwa kufanyika kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri Manispaa ya Dodoma kuanzia Macha 16-22, 2014
Msimamizi wa Mradi wa Visima wa uchimbaji visima katika eneo la MZAKWE, Bwana METHOD ILAMULIRA, kutoka Kampuni ya DON CONSULTANT akimuonyesha Afisa Habari wa Mamlaka ya Maji mjini Dodoma, DUWASA, SEBASTIAN WARIOBA jinsi Uchimbaji wa Maji unavyofanyika kupitia Visima virefu. ambavyo vinatarajiwa kuondoa tatizo la maji katika mkoa wa Dodoma.

Post a Comment

0 Comments