Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Steps Solar Bw
Moses Mwanyilu (kulia), akiongea na waandishi wa Habari katika ofisi ya Kampuni
hiyo Aprili 4-2014 jijini Dar es Salaam kuhusina na ufungaji wa Taa za Sola
katika Shule za Sekondari (Kidete na Kibugumo) pamoja na Zahanati, Kibugumo,
Mji Mwema, Tua Ngoma, Hoboza na Vituo vya Watoto ya tima pamoja na vituo vya
polisi, vyote vikiwa maeneo ya Kigamboni zoezi hilo limeanza leo Aprili 4- hadi
19-2014 (kushoto), Meneja Mipango wa Kampuni ya Steps Solar,Emma Laswai
(katikati), Ofisa Mteandaji Mkuu Tanzania Renewable Energy Association (TAREA),
Matthew Matimbwi.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Steps Solar Bw.Selles Mapunda akiwaonyesha
waandishi wa Habari moja ya Sola zitakazo kwenda kufunga katika maeneo hayo.
Waandishi wa Habari pamoja na wafanyakazi wa
Kampuni hiyo wakiwa kwenye mkutano huo.
PICHA NA
PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM