Random Posts

KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA VIFURUSHI DHL KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WADOGO NCHINI



Mkurugenzi wa DHL katika ukanda wa nchi za Jangwa la Sahara, Charles Brewer, akiongea na waandishi wa ofisini kwake Aprili 23,2014 jijini Dar es Salaam kuhusiana na maandalizi ya mafunzo kwa wajasiriamali wadogo nchini ili kuweza kuwasaidia kujifunza mbinu mbalimbali za kibiashara zitakazowawezesha kukuza biashara zao.

PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWEBLOG

+255 787 942222


Mkurugenzi mkazi wa DHL Tanzania, Ahmed Abdi, (kulia), akifafanua kuhusiana na kampuni hiyo kuendelea kukuza uchumi wa Tanzania kwa ujumla.