Na Saidy Mdoe, Dar es Salaam
MWANAMUZIKI mkongwe mwenye
historia ya kipekee katika muziki wa Tanzania, Muhidin Maalim Gurumo
amefariki dunia leo saa 9 mchana.
Habari kutoka ndani ya familia ya Mzee Gurumo zimeiambia Saluti5 kuwa mwimbaji huyo amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kwamba jana usiku Gurumo aliugua ghafla na kukimbizwa Muhimbili kabla mauti kumkuta leo mchana. Taarifa hizo zinasema Gurumo alikuwa akilalamika moyo kumuuma.
Gurumo alizaliwa mwaka 1940 na
historia yake kimuziki ikaanzia mwaka 1960 kupitia bendi Kilimanjaro
Chacha kabla ya kujiunga Rufiji Jazz Band mwaka 1962.
Habari kutoka ndani ya familia ya Mzee Gurumo zimeiambia Saluti5 kuwa mwimbaji huyo amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kwamba jana usiku Gurumo aliugua ghafla na kukimbizwa Muhimbili kabla mauti kumkuta leo mchana. Taarifa hizo zinasema Gurumo alikuwa akilalamika moyo kumuuma.
![]() |
| Pumzika kwa amani; Mzee Muhiddi nGurumo enzi za uhai wake |
KUSOMA ZAIDI KWA HISANI YA TOVUTI YA SALUTI 5 BOFYA HAPA CHINI