Peter Theo Cutis
mwandishi wa kima-rekani amechiwa huru na watekaji baada ya kushikiliwa kwa
muda wa miaka miwili na makundi ya wapigaji nchini Siria.
Katika mkanda
uliorushwa na kituo cha Al Jazeera,Curts anaoneka kusema kwamba alihudumiwa vizuli na
alipata kila kitu ,chakula kizuli,nguo,matibabu mazuli pamoja na kupata
marafiki,
Kuachiwa kwake
kumetokana na msuluhishi kutoka Qatar imefahamika,kuachiwa kwa Curtis ni faraja
kwa Dunia hasa baada ya kushuhudia mwandishi
James Foley akichinjwa na kutenganishwa kichwa chake na mtu mmoja
aliyekuwa amefunika uso wake,na kujitambulisha kwamba yeye ni mpiganaji wa
kundi la Isis –Islamic State ambalo lipo katika harakati ya kuiangusha serikali
ya Iraqi na kusimika utawla wa kiislam.
Alikabidhiwa kwa
baraza la usalama,Curti salitekwa October 2012 katka mpaka waAntakya Uturuki
akijianda kuvuka mpaka,kuingia Siria nayo
kamati ya kuwalinda na kuwakinga waandishi Duniani ,inasema takribani waandishi 67 wameuwawa nchini Siria
na wengine 20 hawajulikani walipo,Tangu vuguvugu la kutaka mabadiliko nchini
Siria
CNN inaripoti kwamba
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Jhn Kery kuachiwa kwa Curts ni mapano ya
kundi la Japhat al nusah na sio kundi la Isis
