Random Posts

MAREKANI YAFANYA SHAMBULIZI ZITO KWA AL-SHABAAB



WASHINGTON-Jeshi la anga la marekani limefanya shambulio zito katika ngome za kundi la Al Shabaab nakuleta mazara makubwa kwa kundi hilo nchini Somalia
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na msemaji wa jeshi la MarekaniAdmiral John Kirb  alisema bado wanafatilia ilikujua taarifa sahihi walizopata Al-shabaab
Al-Shabaab ni kundi lenye mfungamano na kundi la kiaidi la al gaeda-Al shabaab nikundi  la kigaidi lenye mtazamo wa siasa kari lilianza kutawala Somalia katikati ya miaka 2006 mpaka 2011 lilipofulumushwa na majeshi ya kulinda amani wan chi za Afrika .
Al shabaab katika utawala wao walilazimisha wananchi kufuata sheria za ki-islaam ,Hivi karibuni kundi hilo limekuwa linajiimalisha na kurudi katikati ya jiji la Mogadishu huku likifanya mashambulizi ya kujitoa mhanga ,kitu kinachosababisha mji wa Mogadishu na viunga vyake kutokuwa sehemu salama!