Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa
balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Balozi Eugene Segore Kayihura na
kumwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Balozi Ali Iddi Siwa
katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Kikwete pia
amepokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Norway nchini
Tanzania Bibi Hanne Marie Kaarstad.Pichani Balozi mpya wa Rwanda nchini
Tanzania 8647-Akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete.Na
Balozi Mpya wa Tanzania nchini Rwanda Ali Idd Siwa 8827 akila kiapo
mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam