Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 . Kutoka kulia ni David Rwenyagira
(Radio Five), Vedasto Msungu (ITV), Gerald Kitabu (The Guardian) na
Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete wakiwa nje ya Ofisi za
Makao Makuu ya Jukwaa la Wahariri Afrika Kusini.
Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakifanya mahojiano ndani ya
Studio za Shirika la Utangazaji la Afrika ya Kusini (SABC- Channel
Afrika). Kutoka kushoto ni David Rwenyagira (Radio Five), Gerald Kitabu
(The Guardian), Vedasto Msungu (ITV) na Mtayarishaji Vipindi Isaack
Khomo
Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013 wakiwa pamoja na Mhariri Mkuu wa
Habari na Matukio wa Channel Afrika ya Shirika la Utangazaji la Afrika
Kusini (SABC) Busi Chaane (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Idhaa ya
Kiswahili ya Channel Afrika ya SABC Mike Arareng (wa kwanza kulia)
walipotembelea studio hizo kwa ziara ya mafunzo.
Washindi
wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka kulia ni Vedasto Msungu (ITV),
Gerald Kitabu (The Guardian), David Rwenyagira (Radio Five) na Meneja
Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete katika picha ya pamoja katika
ofisi za Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) jijini
Johannesburg.