Daktari
Agnes Fupi akitoa huduma ya kupima presha kwa wateja waliotembelea katika banda
la Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika mashindano ya SHIMIWI
mjini Morogoro.
Afisa masoko na elimu kwa umma wa
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Hawa Duguza akiwaandikisha wateja
kwa ajili ya kupata huduma ya kupima afya zao katika zoaezi linaloendeshwa na
mfuko huo mjini morogoro.
Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Raphael
Mwamoto akizungumza na wanahabari katika uwanja wa jamhuri mjini morogoro.
Baadhi ya washiriki katika
shirikisho la michezo ya wizara,na idara za serikalli(SHIMIWI) wakisubiri
kupatiwa huduma ya kupima afya zao inayoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF)




0 Comments