Random Posts

BLUE PEARL-HOTEL RUHUSA KUENDELEA NA BIASHA ZAKE UBUNGO PLAZA-MAHAKAMA KUU




Habari na Bernard James
 0652-152000
...............................

Hatimaye mahakama kuu imetoa uamuzi wa kuiruhusu, blue pear,l kuendelea na biashara zao ,kama kawaida na kurudishiwa vitu vyao vyote vilivyokuwa vimeshikiliwa na kampuni ya udarali ya majembe. mala moja na makabidhiano yamefanyika jana katika hali ya utulivu,tofauti na ilivyokuwa ,hapo awali siku kampuni ya majembe ilivyivamia kwa nguvu,huki ikiwataka blue pearl kufungasha vilago katika majengo hayo,kitu kilchopelekea mpangaji wake ambae ni Mr Rush Meran kukimbilia mahakamani kutafutahaki yake ,ambayo yeye aliona hajatendewa haki ,katika zoezi zima lilivyofanywa ,ambapo alilalamika ,taratibu hazikufuatwa na ilikuwa kama vile amevamiwa gafla ,bila kupewa taarifa,hata kupewa notese ,kama taratibu zilivyo,huku akisisitiza yeye ndie anaye dai NSSF na UBUNGO PLAZA LTD ,pesa nyingi shilingi milioni tatu na laki sita pesa ya kigeni ,us dola (3.6 us#us hivyo nayeye kugoma kulipa kodi aliyotakiwa kulipa ,ilikushinikiza kwanza alipwe pesa zake kwanza anazodai ndipo nay eye ataendelea kulipa kodi yake kama mkataba ulivyo ainisha,kwasababu kabla ya hapo hakukuwa na tatizo lolote ,alikuwa analipa kodi bila kuchelewa,na kitendo kilichofanywa na wamiliki wa jingo la kuitumia kampuni majembe kuja kumtoa na kumtangaza kwamba ni mdaiwa ,sugu anayekwepa kulipa kodi ,sio cha ukweli na kimemdhalilisha katika jamii ,kwa kuonekana yeye ni mtu anaye kwepa kulipa kodi alisema Meran kwa uchungu,huku akitaka sheria ichukue mkondo wake ,karibia sasa ni mwezi mmoja ,tangu kutokea mtafaruku mkubwa katika jengo la ubungo plaza ambalo  mmiliki wake ni, Nssf na Ubungo plaza,Ltd.
Mtandao wa kijamii upo katika harakati za kuwasiliana na upande wa pili Nssf na Ubungo p
Plaza Ltd ilikuweza kupata nini wanasema, na sisi tutarusha habari hizo kwakushirikiana’ na mitandao mingine ya kijamii kuwa habarisha wana nchi ukweli wake hasa..
Hata hivyo haijajulikana hizo shilling milioni tatu na laki sita dola za kimarekani anazodai Mr Mran
akishinikiza alipwe na Nssf na Ubungo plaza Ltd , ni kwa ajili ya nini.
Blue Pearl Hotel inamiaka saba .tangu iingie mkataba wa kupanga katika jingo hilo ,linalomilikiwa na shirika la Nssf ,pamoja na kampuni ya Ubungo plaza Ltd,kumekuwa na kutokuelewana kati ya mpangaji na mmiliki ,huku mmiliki akitaka mpangaji ambae ni blue pearl aondoke katika jengo hilo akidaiwa kuvunja mkataba.

Post a Comment

0 Comments