Picha
,hii imepigwa juma-mosi Oktoba,2014
ikiwaonyesha wana-ndoa wa jinsia moja wakiwa wamekaa mkao maalumu kwa ajili ya
kupigwa picha (pose), mara baada ya kufunga ndoa ,Inslington London,Natalie
Banner (kushoto)bwana harusi na Elyisia Rose Johnson (kulia bibi harusi),ndoa
za jinsia moja kati ya mwana ume kwa mwanaume, mwanamke kwa
mwanamke,zimeenea katika nchi nyingi hasa zilizoendelea baada ya kipindi kirefu
,hata hivyo hivi karibuni nchini marekani ,Mahakama moja ya juu imekataa
kupitia upya hukumu iliyotolewa miaka ya nyuma ya kupiga marufuku ndoa ya jinsia
moja iliyotolewa miaka ya,bado katika baadhi ya majimbo nchini Marekani haya-ruhusu ndoa za jinsia
moja.


0 Comments