Random Posts

MAREKANI-YAJIANDAA KUPIGANA VITA YA MUDA MREFU KATIKA MIKAKATI YA KULIANGAMIZA KUNDI LA I.S


PENTAGONI-Imesema inajiandaa kwa vita vitakavyochukua muda mrefu ,katika mikakati ya kulitokomeza kundi la kigaidi ,linalojiita Dola ya Ki-Islamu,hayo yalisemwa na kamanda wa cheo cha juu yana ijumaa wakati wa mkutano na waandishi ,waliotaka kujua mpaka sasa  ,ni maendeleo gani ya mafanikio yaliyofikiwa dhidi  ya I.S ,Lloyd J. Austin ambae ni kamanda wa cheo cha juu anayeyeshuglika na mashariki ya kati,amebainisha kwamba ,mpaka sasa ni wapiganaji wengi sana wameisha kufa ,kufatia mashambulizi ya anga yanayo-ongozwa na Marekani na washirika wake,,tupedondosha mabomu katika sehemu wanazozishikilia ikiwamo Beiji ambapo ni mji mubwa wenye kiwanda kikubwa kabisa cha kuchimba na kusafisha mafuta,sehemu zote wanazotegemea kupata pesa kwa ajili ya kuendeshea mikakati yao ,tumeweza kudodondosha mabomu alisema Austin katika mkutano huo,

Post a Comment

0 Comments