MJUMBE wa Bodi ya Kituo cha Ufundi cha Kilimo na Maendeleo Vijijini
(Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation, CTA) chenye
makao makuu mjini Wageningen, Uholanzi, Prof. Faustin Kamuzora,
akikabidhi kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete uteuzi wa
kuwa Balozi wa Heshima (Goodwill Ambassador) wa Maendeleo ya Kilimo
katika Mabara ya Afrika, Karibiani na Pasafiki, uliofanywa na Kituo
hicho cha CTA, Pfrof. Kamuzora aliwasilisha uteuzi huo, alipokwenda
Ofisini kwa Dk. Kikwete, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jinini Dar es Salaam, juzi..
(Picha na Bashir Nkoromo).
