MWENYEKITI wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha
Kamati Kuu ya CCM, leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip
Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
(Picha na
Bashir Nkoromo).
