Mbunge wa Nchemba (CCM), Mhe. Juma
Nkamia akifurahia jambo na Mbunge wa Kaliua (CUF), Mhe. Magnalena Sakaya wakati
wakiingia katika viwanja vya Bunge leo
mjini Dodoma kuanza kipindi cha asubuhi
cha Bunge hilo.
Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mhe.
Mwigulu Nchemba akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe.
George Masaju ndani ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Ulemavu, Mhe. Antony Mavunde akijibu
maswali ya Wabunge leo Bungeni mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na
majibu.
Mbunge wa Tabora Kaskazini (CCM), Mhe.
Almas Maige akiuliza swali Bunge leo wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
Wabunge wa CCM Viti (Maalum) kutoka
kushoto, Christine Ishengoma, Martha Umbulla na Magreth Sitta wakibadilishana
mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu ya
Bunge hilo leo.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Halima Bulembo, akiuliza swali
Bungeni leo wakati wa kipindi cha maswali na majibu ya Bunge hilo. Kulia ni
Mbunge wa Busega, Mhe. Raphael Chegeni.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt Tulia Ackson akibadilishana mawazo na
Wabunge mara baada ya kuahirisha
kipindi cha asubuhi cha Bunge hilo mjini Dodoma.
1 Naibu Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia
Ackson akifurahia jambo na Mbunge wa Kibiti, Mhe. Ally Ungando mara baada ya
kuahirisha kipindi cha asubuhi cha Bunge hilo leo mjini Dodoma.
(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA-
MAELEZO)







