Amewataka wananchi mkoani Mbeya kutunza vyanzo
vya Maji ni marufuku kuharibu, kufanya shughuli za kijamii kwenye vyanzo vya
Maji hii ni kwa mujibu wa sheria ya m uhifadhi vyanzo vya Maji
Amewataka wananchi kupanda miti rafiki wa mazingira na vyanzo vya Maji na amesisitiza kuwa endapo tutaruhusu kuharibu mazingira ikiwemo kuchomo Moto misitu , kukata miti ovyo na uchimbaji madini usiozingatia uhifadhi wa mazingira ni wazi vyanzo vya Maji vitakauka na mvua zitapungua

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala akiwasili katika siku ya mazingira duniani.
![]() |
| Wananchi wakimsikiliza MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala |
![]() |
| MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala akipanda mti wakati wa siku ya mazingira duniani. |