Random Posts

PUNTLAND WAJA NCHINI KUJIONA MASUALA YA UTUMISHI WA UMMA

Picha ya pamoja , ujumbe wa serikali ya Puntiland wakiwa na wenyeji wao TPSC,waliokaa wa tatu kutoka kushoto Waziri wa Kazi,Vijana na Michezo wa Puntiland, Abdurahman Ahmed Abdulle na wa nne kutoka kushoto (waliokaa) Kaimu Mkuu wa chuo cha Ytumishi wa Umma (TPSC) Dkt.Henry Mambo.
Kaimu Mkuu ya wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania(TPSC), Dkt. Henry Mambo (kushoto) akibadilishana mawazo na
Waziri wa Kazi,Vijana na Michezo wa Puntiland, Abdurahman Ahmed Abdulle kando ya kikao cha pamoja baina ya ujumbe wake na TPSC.