Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akimuapisha Nd,Hassan Khatib Hassan kuwa Naibu Katibu
Mkuu, Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto,atayeshuhulikia masuala ya Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,
[Pica na Ikulu.] 31/08/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akipeana mkono wa shukurani na Nd,Hassan Khatib Hassan,baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu
Mkuu, Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na
Watoto,atayeshuhulikia masuala ya Wazee,Vijana,Wanawake na
Watoto,katika hafla iliyofanyika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akimuapisha ACP Sida Mohamed Himid kuwa Naibu Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ, anayeshuhulikia Idara Maalum za SMZ,katika hafla iliyofanyika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akitia saini hati ya kiapo ya ACP Sida Mohamed Himid baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ, anayeshuhulikia Idara Maalum za SMZ, katika hafla iliyofanyika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo ACP Sida Mohamed Himid baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za
SMZ, anayeshuhulikia Idara Maalum za SMZ, katika hafla iliyofanyika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja
Makamanda Wakuu wa Vikosi vya SMZ walihudhuria katika hafla ya kuapishwa
Viongozi wa taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi, walioteuliwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid (kulia) na Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu ni miongoni mwa Viongozi
waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi wa Taasisi mbali mbali
za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Mawaziri wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi katika taasisi mbali
mbali walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja