Random Posts

DC MUHEZA APIGA MARUFUKU BODABODA KUENDESHWA ZAIDI YA SAA SITA



Mkuu wa wilaya ya Muheza Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na bodaboda wa wilaya hiyo ambapo alikutana nao na kuzungumza nao kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani humo ambapo alipiga marufuku kuendeshwa usiku zaidi ya saa sita.





wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Usalama Barabarani wilayani Muheza(DTO) Herbert Kazonde wakati wa mkutano huo na waendesha bodaboda uliofanyika kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani humo kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza.


Katibu wa Chama cha Waendesha Boda Boda wilayani Muheza,Francis Gerald akizungumza katika mkutano huo kuhusu changamoto ambazo zinawakabil

 Baadhi ya Bodaboda zikiwa zimepaki kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani Muheza huku madereva wakiwa kwenye kikao chao na Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo 


Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

Post a Comment

0 Comments