| Mkuu wa mkoa akipokea zawadi ya Cd kutoka kwenye chama cha wasanii wa filamu jiji la Arusha(TDFAA)kama shukrani kwa mcgango wake kwa chama hicho na wasanii wa Arusha kwa ujumla. |
| Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Arusha Tajjiel Mahega akiongea kwenye hafla hiyo. |
| Mkuu wa mkoa na viongozi wa serikali mkoani hapa wakiwa wamesimama baada kupokea zawadi kutoka kwa wasanii wa filamu |
| Kaimu mkurugenzi wa jiji la Arusha Tajjiel Mahega akiongea neno kabla ya kumkaribisha mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kuzindua semina hiyo |
![]() |
| Add caption |
| Mkuu wa mkoa akiongea na vyombo vya habari waliofika kwenye semina hiyo nje ya ukumbi baada ya kumaliza kufungua semina hiyo |
| Add caption |

0 Comments