Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Japan nchini,
Masaharu Yoshida kuhusu namna ambavyo Japan inaweza kusaidia waathika
wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Mazungumzo yao yalifanyika Ofisini
kwa Waziri Mkuu jijini Dares salaam Septemba 19, 2016. Kulia ni
Mwakilishi Mkuu wa JICA nchini, Toshio Nagase.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)


0 Comments