WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia uwanjani kukagua timu ya
Wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba katika uwanja
wa Taifa, Dar es Salaam, leo wakati mchezwa hisani ya kuchangishafedha
kwa ajili wahanga watetemeko la ardhi, mkoani Kagera.Yanga walishinda
bao 5-2
WAZIR Mkuu Kassim Majaliwaakikagua timu kabla ya kuanza mechi
ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi
mkoani Kagera katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kati ya Wabunge
mashabiki ya Yanga na wabunge mashabiki wa Simba. Yanga walishinda bao
5-2
Wabunge Mashabiki Simba
Wabunge Mashabiki Yanga
WAZIR Mkuu, Kassim Majaliwa, viongozi wengine na timu wakiimba
wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mechi ya hisani kuchangisha fedha kwa
ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera katika uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam kati ya Wabunge mashabiki ya Yanga na wabunge
mashabiki wa Simba. Yanga walishinda bao 5-2
Mshambuliaji wa timu ya wabunge mashabiki wa Yanga,Ridhiwan
Kikwete akiwatoka wachezaji wabunge mashabiki wa Simba. Yanga
walishinda bao 5-2
Mshambuliaji wa timu ya wabunge mashabiki wa Yanga akiwa,Mwigulu
Nchemba akiwapiga chenga wabunge mashabiki wa Simba. Yanga walishinda
bao 5-2. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii














0 Comments