Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Hamad Masauni akisalimiana naAskari wa
Uhamiaji katika kituo cha Uhamiaji cha Namanga, Mkoani Arusha wakati
alipokwenda kukagua usalama wa mpaka huo ambapo aliwataka Askari hao kuendelea kufanya
Oparesheni za mara kwa mara ili kuhakikisha hakuna wahamiaji haramu ambao
watapita katika mpaka huo.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Hamad Masauni akitoka kukagua mojawapo
ya ofisi ya Uhamiaji katika mpaka wa Namanga, Mkoani Arusha wakati alipokwenda
kukagua usalama wa mpaka huo ambapo aliwataka Askari wa Uhamiaji katika kituo
cha Namanga kuendelea kufanya Oparesheni za mara kwa mara ili kuhakikisha
hakuna wahamiaji haramu ambao watapita katika mpaka huo
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Hamad Masauni akikagua mpaka wa Tanzania
na Kenya (Namanga), Mkoani Arusha wakati alipokwenda kukagua usalama wa mpaka
huo ambapo aliwataka Askari wa Uhamiaji katika kituo cha Namanga kuendelea
kufanya Oparesheni za mara kwa mara ili kuhakikisha hakuna wahamiaji haramu
ambao watapita katika mpaka huo.Katikati ni Mkuu wa kituo cha uhamiaji Namanga,
Abdalah Katimba na Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Arusha, Bw. Mwakipesile.
(Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani).



0 Comments