Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta anayeendelea
kupata matibabu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mke wa Mzee Sitta,
Mama Margaret Sitta.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta mara baada ya
kumjulia hali jijini Dar es Salaam.
Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta akiongoza Sala
mara baada ya kujuliwa hali na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.kushoto ni Mke wa
Mzee Sitta, Mama Margaret Sitta.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
wakati akitoka katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakielekea
kwenye Ofisi za Magazeti ya Uhuru na Mzalendo zilizopo katika mtaa wa Lumumba
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt.
John Pombe Magufuli akiwasikiliza wafanyakazi wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo
mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za Magazeti hayo
zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt.
John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wafanyakazi hao wa
Magazeti ya Uhuru na Mzalendo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakwaza (kulia) pamoja na Kaimu Mhariri
Mtendaji wa Magazeti hayo Ramadhani Mkoma wakwanza (kushoto) wakiomba dua mara
baada ya kumaliza kuzungumza na wafanyakazi hao jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
kushoto pamoja na Msemaji wa CCM
Christopher Ole Sendeka mara baada ya kuzungumza na wafanyakazi wa Magazeti ya
Uhuru na Mzalendo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwashukuru wakazi mbalimbali wa jijini Dar es Salaam
waliokuwa wakimsubiri nje mara baada ya kuskia kuwa amefanya ziara ya
kushtukiza katika ofisi za Magazeti ya Uhuru na Mzalendo jijini Dar es Salaam.
PICHA
NA IKULU










0 Comments