Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha
Mrisho Gambo mara baada ya tukio la Kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine
katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa kwanza (kulia) na
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa
na Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo wa kwanza (kushoto).
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara
baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada
ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Mstaafu wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika (AfDB) Dkt. Donald Kaberuka aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika (AfDB) Dkt. Donald Kaberuka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Picha na IKULU






0 Comments