Rais wa
Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa
Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka
2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo,
[Picha na Ikulu.] 09/09/2016.
Rais wa
Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa
Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka
2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa
Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipozungumza
na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa
Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka
2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya SMZ wakiwa chini ya Wizara ya Nchi Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakiwa
katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka
2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo ukiongozwa na Rais wa
Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Maafisa Tawala wa Mikoa ya Zanzibar katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara
Maalum za SMZ wakiwa katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa Ilani
ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka
2015-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ukiongozwa na Rais wa
Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wakiwa katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara
Maalum za SMZ wakiwa katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa Ilani
ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM ya mwaka
2015-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ukiongozwa na Rais wa
Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ Radhiya Rashid Haroub (katikati) akisoma
vifungu vya Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015-2020 wakati
mkutano wa mpango wa utekelezaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa,Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ,mkutano huo ulifanyika leo chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman (kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrisa Kitwana katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ, wakiwa katika mkutano wa Mpango wa Utekelezaji wa Ilani