Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa
Umma na Utawala Bora katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka
2015-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo,
Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Balozi
Mohamed Ramia Abdiwawa (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wa
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala
Bora wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka
2015-2020,chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo
pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe,Said Hassan Said (kulia) akiwa na
Viongozi wengine wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi
wa Umma na Utawala
Bora katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka
2015-2020,chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo
pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa
Umma na Utawala Bora katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka
2015-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo,
[Picha na Ikulu.] 09/09/2016.