Random Posts

UMATI WA WATU WASHUHUDIA KUPATWA KWA JUA LEO

Umati wa watu waliokusanyika kushuhudia #Kupatwa Kwa Jua Kipete

Tukio kubwa na la kipekee la kupatwa kwa Jua limetokea katika usawa wa anga la Tanzania limetokea leo Septemba 1, 2016.
- Inaelezwa kuwa, kwa mara ya mwisho kutokea kwa tukio hili nchini ilikuwa ni Aprili 18, 1977 na kwamba litatokea tena Mei 21, 2031..